Tenzi za Rohoni APK

Books & Reference by

Downloads: 43 Updated: March 28, 2018

1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars

Tenzi za Rohoni Description


The best app Best among the same on series, Few typing errors on some lyrics Here we provide Tenzi za Rohoni V 1.8.8 for Android 4.0.3++ Tenzi za Rohoni app inakuwezesha kupata tenzi za rohoni au nyimbo za injili kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.

App hii ina nyimbo za dini 138 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni. Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi au nyimbo za dini, unaweza kusoma na kusikiliza ala (audio) za nyimbo za injili bila kuwa na intaneti (Offline)

Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.
Wakolosai 3:16

Ipakue app hii na umuimbie na kumsifu Bwana kwa nyimbo za injili muda na mahali popote!.

Merry Christmas and Happy new year!

FEATURES
★ Tenzi za Rohoni 138 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini.
★ Ala za tenzi bila intaneti (Offline)
★ Pata tenzi kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya tenzi za rohoni.
★ Tafuta neno lolote kwenye Tenzi za Rohoni
★ Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za injili au nyimbo za dini uzipendazo
★ Kuongeza ukubwa wa maandishi
★ Kuchagua aina ya fonti za aya
★ Kupanga orodha ya tenzi au nyimbo za injili kwa kufuata alfabeti
if there is any problem please let us know. Write your problem in comment box below.

Editors Notes:

May God bless you. Tafutia zilizobaki ala zake

Download Tenzi za Rohoni APK File

  • Price: Free
  • Downloads: 43
  • Requires: Android 4.0.3 and up
  • File Name: Tenzi za Rohoni.apk
  • Updated: March 28, 2018
  • Click Download Pages
  • File Size: 3.9 MB

DISCLAIMER: Tenzi za Rohoni is the property and trademark from , all rights reserved by Click on the above link to proceed to the apk file download page or app buy page.

What's New in Tenzi za Rohoni

  • ★ Zaidi ya ala za tenzi 51 zimeogezwa★ Baadhi ya makosa yamerekebishwa

History Versions Tenzi za Rohoni